MAPINDUZI CUP 2017 THROW BACK | Jikumbushe Azam FC Ilivyoionyesha Umwamba Yanga

Category: 

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuikabili Yanga, kesho Jumamosi kwenye muendelezo wa mechi za michuano ya Kombe la Mapinduzi 2019.

Wakati ikijiandaa kukipiga nayo, tujikumbushe Azam FC ilivyoichapa Yanga mabao 4-0 kwenye mchezo wa mwisho timu hizo kukutana kwenye michuano hiyo mwaka 2017.

Mabao ya Azam FC yaliwekwa kimiani na gwiji wa timu hiyo, John Bocco 'Adebayor', Yahaya Mohammed, Joseph Mahundi na Enock Atta, ushindi ulioifanya Azam FC kutinga nusu fainali na hatimaye fainali na kutwaa taji hilo kwa kuichapa Simba 1-0, lililofungwa na Nahodha wa zamani wa timu hiyo, Himid Mao 'Ninja'.

#MapinduziCup2017 #YangavAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
#AfricanFrutiImenogaFresh #UhaiDrinkingWater #TradegentsTanzaniaLimited

Back to Top