KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeteleza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona baada ya kupoteza kwa kufungwa na Ndanda bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika jioni ya leo.

Apr 18, 2019 07:32pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeteleza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona...

Apr 17, 2019 01:39pm

BAADA ya kutoka kuichapa Mbeya City, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itashuka...

Apr 14, 2019 08:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli mkoani Mbeya baada ya kuichapa...

Apr 18, 2019 07:32pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeteleza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona...

Apr 17, 2019 01:39pm

BAADA ya kutoka kuichapa Mbeya City, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itashuka...

Apr 14, 2019 08:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli mkoani Mbeya baada ya kuichapa...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Apr 18, 2019 07:32pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeteleza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Apr 18, 2019 07:32pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeteleza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona baada ya kupoteza kwa kufungwa na Ndanda bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika jioni ya leo.

Huo unakuwa mchezo wa tatu kwa Azam FC kupoteza msimu huu, na mechi ya kwanza kupoteza baada ya mechi nane mfulululizo kupita za mashindano, mechi nyingine ilizopoteza ni dhidi ya Mtibwa Sugar na Simba, zote ikicheza nje ya viunga vya Azam Complex.

Matokeo yanaifanya...

Apr 17, 2019 01:39pm

BAADA ya kutoka kuichapa Mbeya City, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itashuka tena dimbani kuvaana na Ndanda, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara kesho Alhamisi saa 10.00 jioni.

Tayari kikosi cha Azam FC kimeshawasili mkoani humo tokea jana, wachezaji wote wakiwa kwenye hali nzuri kabisa, ambapo jioni ya leo Jumatano kitafanya mazoezi ya mwisho kwenye dimba hilo.

Azam FC ambayo tayari imeshacheza mechi 31...

Apr 14, 2019 08:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli mkoani Mbeya baada ya kuichapa Mbeya City bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Sokoine, Mbeya leo jumapili.

Ushindi huo unaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 66 kwenye msimamo wa ligi ikiwa nafasi ya pili ikizidiwa pointi nane na kinara Yanga aliyekuwa nazo 74, Simba iliyocheza mechi 22 ni ya tatu ikijikusanyia 57.

Mabingwa hao wa Kombe la Kagame na Kombe la Mapinduzi msimu...

Apr 13, 2019 05:30pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimetua salama jijini Mbeya leo Jumamosi tayari kukabiliana na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) unaotarajia kufanyika Uwanja wa Sokoine, Mbeya kesho Jumapili saa 10.00 jioni.

Wachezaji wamewasili wakiwa na morali ya hali ya juu tayari kufanya kweli kuhakikisha wanvuna pointi zote tatu kwenye mchezo huo, unaotarajia kuwa mkali na wa aina yake.

Matajiri hao kutoka viunga vya Azam Complex,...

Apr 12, 2019 03:26pm

KOCHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Idd Nassor Cheche, amekiri ushindani ni mkubwa kwenye kikosi hicho hali inayochangia matokeo bora uwanjani.

Kikosi cha Azam FC kimekuwa kwenye mwenendo mzuri hivi sasa, kikishinda mechi sita mfululizo na kutoka sare moja tokea ichukuliwe na benchi jipya la ufundi chini ya Meja Mstaafu, Abdul Mingange na Cheche.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz, Cheche...

Apr 10, 2019 09:43pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo Jumatano jioni kimeanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Mbeya City.

Wachezaji wa kikosi hicho waliokuwa mapumziko kwa siku moja mara baada ya kurejea kutoka mkoani Mwanza juzi Jumatatu, wameanza mazoezi hayo kujiandaa na mtanange huo utakaopigwa Uwanja wa Sokoine, mkoani Mbeya Jumapili hii saa 10.00 jioni.

Nyota wote wamerejea vema mazoezini, ambapo benchi la ufundi...

Apr 09, 2019 01:18pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mbaraka Yusuph, anatarajia kukaa nje ya dimba kwa muda wa miezi tisa ijayo baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti jijini Cape Town, Afrika Kusini jana.

Nyota huyo amekutwa na tatizo la kuchanika mtulinga wa kati wa goti lake la mguu wa kulia (Anterior Cruciate Ligament Tear), hali iliyolazimika afanyiwe upasuaji huo.

Yusuph aliyepata majeraha hayo wakati akiwa kwenye kikosi cha Namungo kinachoshiriki Ligi Daraja la...

Apr 07, 2019 07:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka suluhu dhidi ya Mbao katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza leo Jumapili.

Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 63 ikiendelea kubakia nafasi ya pili kwenye msimamo, ikizidiwa pointi tano na Yanga yenye mchezo mmoja mkononi iliyo kileleni ikiwa nazo 68.

Azam FC ilifanikiwa kupata nafasi takribani tatu za wazi za kufunga mabao kipindi cha kwanza, mbili...

Apr 06, 2019 05:12pm

BAADA ya kupata ushindi mfululizo mechi nne za Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuendeleza makali yake itakapokuwa ikikabiliana na Mbao kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kesho Jumapili saa 10.00 jioni.

Mchezo huo unatarajia kuwa mkali na wa aina yake hasa kutokana na fomu nzuri ya matokeo ya hivi karibuni ya Azam FC huku Mbao nao ikitaka kuondoa rekodi ya kufungwa mechi tano mfululizo kwenye ligi hiyo inayoendelea kutimua vumbi....

Apr 04, 2019 10:28pm

TIMU ya vijana ya Azam FC (Azam U-20) imefanya kweli usiku huu baada ya kuitandika Yanga U-20 kwa mikwaju ya penalti 7-6 na kutwaa ubingwa wa michuano ya vijana ya JMK (JMK Youth Tournament).

Mpambano huo uliokuwa mkali na wa aina yake ulilazimika kufika hatua ya kupigiana matuta baada ya kumalizika kwa sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida wa mchezo.

Azam U-20 ndio iliyokuwa ya kwanza kuziona nyavu za wapinzani wake, kupitia kwa bao safi la Hamis Ngoengo dakika ya 37 kabla ya...

Apr 04, 2019 07:51pm

NAHODHA msaidizi wa Azam FC, Frank Domayo ‘Chumvi’, ameeleza siri ya kufunga mabao ya mashuti ya mbali akidai kuwa ni mazoezi na jitihada binafsi.

Domayo ambaye ametoka kwenye majaraha ya muda mrefu ya goti yaliyomweka nje ya dimba kwa miezi minne hadi aliporejea katikati ya mwezi Februari, juzi alifunga bao lake pili wakati Azam FC ikiichapa Kagera Sugar 2-0, lingine alifunga kwa staili ile ile aliporejea kwa mara kwanza dimbani, timu yake ilipopoteza 3-1 dhidi ya Simba.

“...

Apr 02, 2019 07:46pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kunawiri kwenye mechi ya pili mfululizo dhidi ya Kagera Sugar baada ya kuichapa mabao 2-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.

Itakumbukwa kuwa kabla ya timu hizo kukutana leo Jumanne, zilitifuana Ijumaa iliyopita kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), Azam ikishinda bao 1-0.

Lakini kiujumla huo ni mchezo wa tatu msimu huu...

Back to Top