May 10, 2019 12:50am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiongezea pointi moja kwenye msimamo wa...

May 09, 2019 04:01pm

BEKI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yakubu Mohammed, amesaini mkataba mpya...

May 08, 2019 09:14pm

BAADA ya kutoka sare kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Stand United ugenini, kikosi cha Azam FC...

Sep 27, 2018 04:26pm

JUMLA ya wachezaji nane wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wameitwa kujiunga...

Oct 31, 2017 02:03pm

KOCHA mpya wa timu ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 (Azam U-20), Meja Mstaafu...

May 26, 2018 04:24pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kuthibitisha kuwa...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

May 10, 2019 12:50am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiongezea pointi moja kwenye msimamo wa...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

May 10, 2019 12:50am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiongezea pointi moja kwenye msimamo wa...

News by Cetegory

Highlight News

May 10, 2019 12:50am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiongezea pointi moja kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) baada ya kutoka suluhu dhidi ya KMC mchezo uliomalizika usiku huu katika Uwanja wa Azam Complex.

Pointi hiyo inaifanya Azam FC kufikisha pointi 68 kwenye msimamo wa ligi ikiwa nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi 13 na vinara Simba waliojikusanyia 81 huku Yanga walio nafasi ya pili wakiwa nazo 80.

Mchezo huo ulikuwa mkali na wa aina yake, Azam FC ikionekana...

May 09, 2019 04:01pm

BEKI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yakubu Mohammed, amesaini mkataba mpya wa miaka miwili leo alhamisi.

Awali mkataba wa Yakubu ulikuwa ukitarajia kumalizika Novemba mwaka huu, hivyo kwa kuongeza mkataba huo kutamfanya aendelea kuitumikia Azam FC hadi 2021.

Nyota huyo amekuwa na kiwango kizuri tokea ajiunge na Azam FC Novemba 2016, akitokea Aduana Stars ya Ghana, ambapo kwa mara ya kwanza alisaini mkataba wa miaka mitatu.

Beki huyo raia wa Ghana,...

May 08, 2019 09:14pm

BAADA ya kutoka sare kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Stand United ugenini, kikosi cha Azam FC kitashuka dimbani tena kuvaana na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex kesho Alhamisi saa 1.00 usiku.

Azam FC itacheza mchezo huo ikiwa ni baada ya siku moja tu tokea irejee kutoka mkoani Shinyanga jana ilipotoka sare ya bao 1-1, bao la matajiri hao likiwekwa kimiani na mshambuliaji Danny Lyanga kwa shuti kali akiunganisha pasi ya juu ya kiungo...

May 06, 2019 07:55pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imevuna pointi moja jioni ya leo Jumatatu baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Stand United, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.

Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kujiongezea pointi moja, ikifikisha 67 kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi 13 na vinara Yanga waliofikisha 80 huku Simba iliyocheza mechi 30 ikiwa nafasi ya pili ikijizolea 78.

Azam FC...

May 05, 2019 03:23pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimeshawasili salama mjini Shinyanga usiku wa jana, tayari kwa kazi moja tu ya kupambana na Stand United kwenye mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kesho Jumatatu saa 10.00 jioni.

Mchezo huo unatarajia kuwa mkali na wa aina yake kutokana na ushindani wa timu hizo kila zinapokutana ndani ya Uwanja Kambarage, Azam FC ikijipanga kufanya kweli ili kuendelea kujiweka sawa katika msimamo wa ligi hiyo.

Wachezaji wa...

May 03, 2019 10:41pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imekuwa timu ya kwanza kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) msimu huu baada ya kuichapa KMC bao 1-0 usiku huu.

Fainali ya michuano hiyo msimu huu inatarajia kupigwa kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi, Juni 2 mwaka huu, ambapo Azam FC inasubiri kukutana na mshindi wa mechi nyingine ya nusu fainali kati ya Yanga na Lipuli inayotarajia kufanyika keshokutwa Jumapili.

Hii ni mara ya pili kwa Azam FC...

May 02, 2019 11:54am

SAFARI ya Azam FC, kutinga fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajia kuhitimika kwa mchezo wa nusu fainali dhidi ya KMC utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Ijumaa saa 1.00 usiku.

Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na Kati, wamekuwa na mwenendo mzuri kwenye michuano hiyo msimu huu kama ilivyo kwa wapinzani wao KMC, ambapo inatarajia kuwa mechi ya ushindani mkubwa kwa pande zote mbili.

Azam FC ilitinga hatua hiyo baada ya kuichapa...

Apr 30, 2019 12:06am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeshindwa kufanya kweli baada ya kupigwa bao 1-0 dhidi ya Yanga, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Uhuru.

Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kubakia nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 66, ikizidiwa pointi 11 na kinara Yanga aliyefikisha 77.

Mchezo huo ulikuwa mkali na wa aina yake, Yanga ikionekana kushambulia kupitia mashambulizi ya kushtukiza, na kutangulia kwa bao dakika ya 13...

Apr 28, 2019 08:38pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kibaruani kuvaana na Yanga, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) unaotarajia kufanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kesho Jumatatu saa 10.00 jioni.

Mtanange huo unatarajiwa kuwa mkali na wa aina yake kutokana upinzani wa timu hizo kila zinapokutana, wachezaji wa Azam FC wakiwa na morali ya hali ya juu tayari kuvuna pointi tatu muhimu.

Licha ya ligi kufikia mechi za lala salama kwenye mzunguko wa pili, lakini...

Apr 28, 2019 10:27am

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kukanusha vikali taarifa zinazoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amepokea fedha kutoka kwa kiongozi mmoja wa Yanga.

Taarifa hiyo ye kutengenezwa inasambaa wakati ikiwa imebakia siku moja kabla ya Azam FC haijacheza na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) unaotarajia kufanyika Uwanja wa Uhuru, kesho Jumatatu kuanzia saa 10.00 jioni.

Ujumbe huo...

Apr 26, 2019 11:34pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ilipata ugeni mkubwa jioni ya leo Ijumaa, baada ya kutembelewa na mawakala mbalimbali akiwemo Sebastian Arnesen wa Manchester City walioweza kumulika wachezaji wa timu hiyo.

Ugeni huo uliongozwa na mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yusuf Bakhresa, ambaye ndiye aliyewaleta kwenye viunga vya Azam Complex, kwa ajili ya manufaa ya baadaye ya wachezaji wa timu hiyo kutafutiwa masoko barani Ulaya.

Arnesen na jopo lake, waliweza...

Apr 23, 2019 11:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Yanga, huku Uwanja wa mechi hiyo ukibadilishwa kutoka ule wa Taifa na sasa ukitarajia kupigwa ule wa Uhuru Jumatatu hii saa 10.00 jioni.

Kwa mujibu wa barua iliyotumwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeeleza kuwa mabadiliko hayo ya uwanja yanatokana na uwanja huo kutarajiwa kufungwa mara baada ya kumalizika kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa...

Back to Top