Wachezaji wa Azam FC kimataifa
By ppkahemele on May 31, 2012

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum, Salum Abubakar, Mrisho Ngasa, na John Bocco wapo na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars. Joseph Owino yupo na timu ya Taifa ya Uganda Cranes na Abdulhalim Humud, Khamis Mcha, Abdi Kassim na Abdulghani Ghulam Abdallah wapo na Zanzibar heroes inayoenda kucheza kombe la dunia la mataifa yasiyo wanachama wa FIFA
Hii inafanya jumla ya wachezaji 14 wa Azam Fc wawe kwenye majukumu ya kimataifa kwa kipindi hiki
Pichani juu ni Mrisho Ngasa na Abdulhalim Humud
- Log in to post comments
Comments
Noted
Noted