KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) baada ya kuichapa KMC mabao 3-1, mchezo uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Back to Top