Team News

Latest News

Dec 02, 2015 08:46pm

WINGA wa timu ya Azam FC, Kelvin Friday, amewavutia mabingwa wa Ligi Kuu Ethiopia, St. Georges baada ya klabu hiyo kutuma barua ya kumtaka kinda huyo akafanye majaribio.
Akizungumza na mtandao wa azamfc.co.tz, Ofisa...

Dec 01, 2015 10:30am

NYOTA wa timu ya Azam FC, beki kisiki Aggrey Morris na winga Farid Maliki, wameanza rasmi mazoezi ya uwanjani baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakiwakabili.

Wachezaji hao waliumia wakati wakiwa kwenye kambi za timu za Taifa, Morris...

Nov 30, 2015 08:45am

BENCHI la Ufundi la Azam FC limeridhishwa kwa kiasi kikubwa na viwango vya wachezaji wa timu hiyo, wanavyovionyesha wakiwa na timu zao za Taifa katika michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea kutimu vumbi nchini Ethiopia.

Kocha Mkuu wa...

Oct 21, 2015 09:35pm

JUMLA ya mashabiki 100 wa timu ya Azam FC wanatarajia kuondoka jijini Dar es Salaam kesho alfajiri kuelekea mkoani Mtwara ili kuipa sapoti timu hiyo itakapocheza mchezo wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja...

Oct 21, 2015 04:37pm

TIMU ya Azam FC imepania kuvunja mwiko wa kutoifunga Ndanda FC kwenye uwanja wao wa Nangwanda Sijaona, watakapovaana nayo keshokutwa mjini Mtwara.

Msimu uliopita Azam FC ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Ndanda kwenye uwanja huo,...

Sep 19, 2015 12:27pm

Kikosi cha Azam FC kimetua kwenye viunga vya uzunguni vya mgodi wa dhahabu wa Mwadui kabla ya kukabiliana na watoto wa Jamhuri Kihwelu aka Talantin Alberto Pereira hapo kesho.

Ulimwengu wa soka nchini unajua ufundi, ushindani, majigambo na...

Aug 19, 2015 06:48pm

Rais Dr Jakaya kikwete ambaye ni mpenzi wa michezo na burudani alipotembelewa na wachezaji wa Azam FC ikulu jana alisema, Baada ya kusikia Azam FC imeshinda alifurahi na kuongeza kwamba ushindi huo umepunguza ukame wa vikombe vya mashindano ya...

Aug 07, 2015 09:59am

Kipa wa Azam FC, Aishi Manula amesema, kikosi chao kimefanya vizuri hadi kuchukua kombe kwa sababu walicheza kwa malengo na ushirikiano wa hali ya juu wakikubaliana mapema “atakayekosea atakemewa”.

 

Manula ambaye alidaka mechi tano...

Pages

Back to Top