Team News

Latest News

Dec 27, 2017 11:43am

MMOJA wa Wakurugenzi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yusuf Bakhresa, amechaguliwa kugombea tuzo za vijana wenye ushawishi hapa nchini (Most Influential Young Tanzanian) zinazoandaliwa na Kampuni ya Avance Media.

Yusuf...

May 25, 2017 10:14am

KIPA namba moja wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aishi Manula, usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Kipa Bora wa msimu huu (2016/17).

Mbali na kipa huyo kutwaa hiyo, pia ameingia kwenye kikosi bora cha msimu...

May 24, 2017 11:06am

WINGA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, aliyeko kwa mkopo kwenye timu ya CD Tenerife ya Hispania, Farid Mussa, tayari amemaliza msimu akiwa katika timu ya vijana huku mambo yakionekana kumwendea vema baada ya kufanya vizuri....

Apr 28, 2017 09:29pm

WADHAMINI wakuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Benki ya NMB leo ilifanya ziara katika makao makuu ya timu hiyo ‘Azam Complex’.

Ziara hiyo ilikuwa na malengo makuu mawili, la kwanza ilikuwa ni kuwakutanisha mashabiki...

Apr 03, 2017 04:04pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo asubuhi ilifanya ziara kwa wadhamini wake wakuu Benki ya NMB, ambayo imeonyesha kuridhishwa na udhamini wake kwa mabingwa hao.

Azam FC imetumia ziara hiyo kujifunza mambo mbalimbali...

Jan 30, 2017 05:27pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inapenda kutuma salamu za rambirambi kwa uongozi wa klabu ya Kagera Sugar baada ya kufariki dunia kwa kipa wao, David Buruani, usiku wa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, Buruani...

Pages

Back to Top