Team Injuries

Latest News

Apr 03, 2018 12:10am

BENCHI la Utabibu la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, limetoa ripoti ya maendeleo ya wachezaji wawili wa timu hiyo, mshambuliaji Wazir Junior na beki Daniel Amoah, waliopelekwa kwenye Hospitali ya Vincent Pallotti jijini Cape...

Mar 21, 2018 08:30am

BEKI wa kati wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Daniel Amoah, anatarajia kwenda jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya goti Jumatatu ijayo.

Amoah ameshindwa kupona majeraha hayo tokea ayapate Desemba 19...

Mar 09, 2018 11:22pm

BEKI kisiki wa kati wa Azam FC, Yakubu Mohammed, anatarajia kukaa nje ya dimba kwa muda wa wiki sita kuanzia sasa baada ya kufungwa plasta gumu ‘P.O.P’ kwenye mguu wake wa kulia.

Yakubu amefungwa P.O.P baada ya kuvunjika mfupa wa nyuma...

Nov 24, 2017 08:23am

NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd na Joseph Kimwaga, waliokuwa majeruhi sasa huenda wakarejea dimbani Januari Mosi mwakani wakati timu hiyo ikishiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar....

Pages

Back to Top