WAKATI michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup) ikirejea tena kuanzia Juni 29 hadi Julai 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Hebu angalia makala fupi ya mabao yote yaliyofuangwa na mabingwa watetezi...
Kagame Cup
Latest News
Jun 06, 2018 07:08pm
Jul 17, 2015 06:01pm
Straika Mrundi wa Azam FC, Didier Kavumbagu amekubali ufundi anaoupata kutoka kwa kocha wake, Muingereza Stewart Hall na akatamba kwamba huyu kocha anajua sana.
Kavumbagu amefundishwa na makocha tofauti akiwemo Mcameroon Joseph Omog ambaye...