Football

SOKA ni mchezo wa bahati wakati mwingine. Naam sadakta, usemi huo umedhihirika leo kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah baada ya Azam kulala 2-1 mbele ya wenyeji AS FAR Rabat na kutolewa katika...

 

Timu ya soka ya Azam FC imesafiri leo kuelekea Manungu Turiani mkoani Morogoro kukwaana na Mtibwa Sugar mchezo ambao utafanyika kesho

Azam FC imesafiri na kikosi chake chote cha...

Pages

Champions League

3 years 3 months ago

Latest News

2 hours 35 min ago

WIKIENDI hii Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itaanza kampeni ya kuwania taji la Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) ikiwa nyumbani Azam Complex kuvaana na Madini ya...

4 days 3 hours ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imemrejesha kiungo wake mkabaji Stephan Kingue, kwa mkataba wa mwaka mmoja na kufunga usajili wa dirisha dogo unaomalizika leo Jumamosi saa 5.59...

5 days 5 hours ago

BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Abdallah Kheri maarufu kama Sebo, amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini leo Ijumaa asubuhi.

Kheri amefanyiwa...

1 week 4 hours ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepangwa kuanza raundi ya tatu ya msimu mpya wa michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup).

Katika droo hiyo...

Back to Top