First Team

Latest News

Feb 07, 2019 10:20am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Alliance katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Sare hiyo inaifanya Azam FC...

Feb 05, 2019 04:49pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuufungua mwezi Februari kwa kuvaana na Alliance katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Jumatano saa 2.00 usiku.

Azam FC...

Feb 02, 2019 12:31pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeonekana kuwa na ratiba nzito mwezi Februari mwaka huu.

Ratiba hiyo inaonyesha kuwa, Azam FC itacheza jumla ya mechi sita, tano zikiwa za Ligi Kuu na mchezo mmoja wa Kombe la Shirikisho...

Jan 29, 2019 05:41pm

MSIMU huu Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeamua kufanya kweli kwenye kila michuano inayoshiriki hadi sasa ikionekana kuwa na rekodi kabambe.

Mabingwa hao wameonekana kuwa na fomu nzuri msimu huu hadi sasa wakiwa nafasi...

Jan 28, 2019 10:13pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga hatua ya 16 ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) baada ya kuichapa Pamba mabao 2-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

...

Jan 27, 2019 05:15pm

BAADA ya kuichapa Biashara United ya Musoma, kikosi cha Azam FC sasa kinahimishia nguvu yake kwenye mchezo wa raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Pamba utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Jumatatu saa...

Pages

Back to Top