First Team

Latest News

Oct 11, 2018 05:55pm

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwankyembe, leo alifanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya Azam FC ‘Azam Complex’ na kukiri kuwa timu hiyo ni kiwanda cha soka nchini.

Ziara hiyo ya Mwakyembe ilikuwa ni maalumu...

Oct 10, 2018 03:20pm

NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Nahodha Msaidizi Frank Domayo ‘Chumvi’ na mshambuliaji Paul Peter, wameondoka jijini Dar es Salaam leo mchana kuelekea nchini Afrika Kusini kwa matibabu.

Domayo na Peter...

Oct 09, 2018 09:26pm

WAKATI kikosi cha Azam FC kikirejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Juma Mwambusi, amesema kuwa wanategemea mambo makubwa zaidi huko mbele.

Azam FC imekaa kileleni baada ya kuichapa...

Oct 09, 2018 07:18pm

BAADA ya kufungua akaunti ya mabao akiwa na jezi ya Azam FC jana, mshambuliaji Donald Ngoma, amejinasibu ya kuwa kufunga ni kawaida yake.

Ngoma alifunga bao hilo dakika ya 28 na kuiongoza Azam FC kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika...

Oct 08, 2018 10:41pm

USHINDI wa mabao 2-0 ilioupata Azam FC dhidi ya Coastal Union usiku huu, umeifanya kukamata usukani wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL).

Azam FC imekaa kileleni baada ya kufikisha jumla ya pointi 18, zilizotokana na ushindi wa mechi tano na...

Pages

Back to Top