First Team

Latest News

Oct 20, 2018 11:14am

BAADA ya kikosi cha Azam FC kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Nahodha wa timu hiyo, Agrey Moris, ameweka wazi kuwa kwa sasa wanachoangalia ni kushinda mechi zote zilizo mbele yao.

Azam FC imekaa vema...

Oct 19, 2018 11:53pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) baada ya kuichapa African Lyon mabao 2-1 leo usiku.

Ushindi huo umeifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 21 baada...

Oct 18, 2018 08:54am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kibaruani kupambana na African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex kesho Ijumaa saa 1.00 usiku.

Huo utakuwa ni mchezo wa mwisho...

Oct 16, 2018 12:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi hii imewafunza soka timu yake ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Azam U-20’ baada ya kuifunga mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki wa mazoezi uliofanyika Uwanja wa Azam Complex.

...

Oct 14, 2018 01:43pm

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) ikiwa imesimama, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeonekana kuwa na rekodi ya aina yake miongoni mwa timu shiriki.

Ligi hiyo imesimama kupisha mechi za kufuzu Mataifa ya Afrika (AFCON...

Pages

Back to Top