First Team

Latest News

Dec 20, 2017 03:36pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mbaraka Yusuph, anatarajia kuondoka nchini kesho Jumatano jioni kuelekea jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa uchunguzi wa goti lake la kushoto baada ya kuumiza ‘meniscus’ (washa...

Dec 19, 2017 10:36pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imemaliza programu ya mechi za kirafiki kwa kuinyuka Polisi Tanzania mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam Complex leo usiku.

Shujaa za Azam FC katika mchezo huo,...

Dec 18, 2017 07:09pm

KATIKA kumalizia maandalizi yake katika kipindi hiki cha mapumziko ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kinatarajia kukipiga dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki...

Dec 16, 2017 10:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli usiku huu baada ya kuipiga Villa Squad mabao 7-1 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Huo ulikuwa ni mchezo wa tatu wa...

Dec 15, 2017 08:39am

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi kitaendelea na programu ya mechi za kirafiki ambapo kinatarajia kukipiga dhidi ya Villa Squad ya Kinondoni katika Uwanja wa Azam Complex saa 1.00 usiku.

Huo...

Dec 14, 2017 12:20am

IKICHEZA kwa uelewano mkubwa usiku wa kuamkia leo, kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimeichapa mabao 8-1 Mvuvumwa ya mkoani Kigoma katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam Complex.

Mchezo huo...

Pages

Back to Top