First Team

Latest News

Jan 12, 2019 03:47pm

ZIMEBAKI saa kadhaa kabla ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kuvaana na Simba katika fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayofanyika Uwanja wa Gombani, Pemba kesho Jumapili saa 9.30 jioni.

Wakati Azam FC ikitinga fainali...

Jan 11, 2019 07:36pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga fainali ya tatu mfululizo ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa KMKM mabao 3-0, mchezo wa nusu fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Azam FC hivi sasa...

Jan 10, 2019 06:34pm

DROO ya raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imefanyika leo, Azam FC ikipangwa kucheza na Pamba ya jijini Mwanza, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kati ya Januari 25 na 28 mwaka huu...

Jan 10, 2019 02:53pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ipo kamili kukipiga na KMKM katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2019 utakaofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar kesho Ijumaa saa 10.15 jioni.

Hii ni nusu fainali ya tatu...

Jan 10, 2019 12:48am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2019 ikiwa kinara wa Kundi B, baada ya kuichapa Malindi mabao 2-1, mchezo uliomalizika kwenye Uwanja wa Amaan leo Jumatano usiku.

Azam FC...

Jan 08, 2019 06:11pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unayofuraha kubwa kuthibitisha kufikia makubaliano na klabu ya Ismaily ya nchini Misri juu ya mauzo ya mshambuliaji chipukizi, Yahya Zayd.

Zayd, 20, yupo nchini Misri tayari...

Jan 07, 2019 07:38pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetanguliza mguu mmoja kufuzu nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa KVZ mabao 2-1 jioni ya leo.

Azam FC imeibuka na ushindi huo na kufikisha jumla ya pointi saba ikiwa...

Jan 06, 2019 01:48pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Obrey Chirwa, ameweka wazi kuwa atafurahi zaidi atakapokifunga kikosi kamili cha Yanga kilichobakia jijini Dar es Salaam.

Kauli ya Chirwa imekuja muda mchache mara baada ya...

Pages

Back to Top