First Team

Latest News

Sep 29, 2018 11:45am

KOCHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Juma Mwambusi, ameweka wazi kuwa timu yake ilistahili kupewa penalti kama waamuzi wa mchezo wao dhidi ya Lipuli wangekuwa watenda haki.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania...

Sep 28, 2018 11:18pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC,  imelazimishwa sare ya bila kufungana na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex leo usiku.

Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kufikisha jumla...

Sep 27, 2018 07:04pm

BAADA ya kucheza mechi tatu mfululizo ugenini, kesho Ijumaa Azam FC itarejea nyumbani kukipiga na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) unaotarajia kufanyika Uwanja wa Azam Complex saa 1.00 usiku.

Azam FC inarejea nyumbani...

Sep 26, 2018 03:35pm

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Tafadzwa Kutinyu, amejiwekea malengo ya kuendelea kufunga katika mechi zijazo za timu hiyo ili kuhakikisha anaipa ushindi timu hiyo akishirikiana na wachezaji wenzake kikosini.

Kutinyu hadi sasa ndiye kinara...

Sep 26, 2018 01:18am

BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yakubu Mohammed, aliyekuwa majeruhi amerejea rasmi mazoezini na wenzake akiwa na kasi mpya tayari kuipigania timu hiyo kuelekea mechi zijazo.

Yakubu amekaa nje ya dimba...

Pages

Back to Top