First Team

Latest News

Nov 30, 2018 06:26pm

KATIKA uboreshaji wa shughuli za kila siku za timu, uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umefanya mabadiliko kidogo kwenye timu hiyo.

Mabadiliko hayo yaliyofanyika hivi karibuni, lengo kuu ni kuongeza ufanisi...

Nov 29, 2018 03:32pm

BENCHI la ufundi la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, linafanyia kazi kasoro ndogo ndogo kwenye safu ya ushambuliaji ili kuiwezesha kufunga mabao mengi zaidi katika mechi mbalimbali wanazocheza.

Azam FC imekuwa ambayo...

Nov 27, 2018 12:21am

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimeshaanza rasmi mazoezi leo tayari kuanza safari ya kuzisaka pointi kuelekea mchezo ujao dhidi ya Stand United.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utafanyika kwenye...

Nov 23, 2018 01:32pm

MASHABIKI wengi wa soka wamekuwa wakiwa na maswali mengi kuhusu staili ya ushangiliaji ya winga Ramadhan Singano ‘Messi’, aliyofanya jana Alhamisi mara baada ya kufunga bao dhidi ya Ruvu Shooting.

Azam FC iliwachapa maafande hao mabao 2-1...

Pages

Back to Top