First Team

Latest News

Jan 01, 2016 06:28am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuondoka jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kwa usafiri wa boti kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi.

Azam FC imepania kulitwaa tena taji hilo...

Dec 30, 2015 10:27pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imerejea rasmi kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Mtibwa Sugar bao 1-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex jioni ya leo.

Ushindi huo...

Dec 29, 2015 02:13pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa ushindi ni lazima katika mchezo wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar, ili kurejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

...

Dec 27, 2015 08:47pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendeleza kasi yake ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuwachapa Kagera Sugar mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex jioni ya leo.

...
Dec 27, 2015 01:03pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, saa 10.00 jioni ya leo itakuwa kibaruani kuvaana na Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex.

Azam FC itaingia kwenye...

Dec 26, 2015 06:01pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imetuma orodha ya wachezaji 27 kwenye Shirikisho la Soka Afrika (CAF), watakaoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani.

Azam FC itaanza kampeni ya kuwania taji la michuano...

Dec 25, 2015 01:28pm

KIKOSI cha timu ya Azam FC kimetumia mapumziko ya sikukuu ya Krismasi leo asubuhi kwa kufanya mazoezi ya ukukweni maeneo ya Chadibwa, Kigamboni, Dar es Salaam.

Kocha Mkuu wa timu ya Azam FC, Stewart Hall, amesema kuwa ameamua kuwapa...

Pages

Back to Top