First Team

Latest News

Mar 09, 2016 01:27am

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewaweka wazi waamuzi watakaochezesha mechi mbili za raundi ya kwanza  ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Azam FC na Bidvest Wits ya Afrika Kusini.

Mchezo wa kwanza wa raundi hiyo utafanyika...

Mar 09, 2016 01:32am

NYOTA saba wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachojiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Chad, utakaofanyika Machi 23...

Mar 08, 2016 12:21am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imewaahidi Watanzania kuwa watawafanya watembee kifua mbele na kujivuna kwa kuwapa matokeo mazuri watakapocheza na Bidvest Wits ya Afrika Kusini Jumamosi ijayo (Machi 12) kwenye mchezo wa raundi...

Mar 07, 2016 11:54pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuondoka nchini keshokutwa kuelekea jijini Johannesburg, Afrika Kusini kukipiga na Bidvest Wits ya huko katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika...

Mar 07, 2016 12:32pm

KOCHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mario Marinica, amesema kuwa waamuzi wa mchezo wao dhidi ya Yanga juzi ndio wamewanyima ushindi baada ya kukataa bao halali lililofungwa na beki wa kulia Shomari Kapombe.

...

Pages

Back to Top