First Team

Latest News

Aug 08, 2016 12:20pm

IKIWA imefikisha mwezi mmoja tokea ianze maandalizi ya msimu ujao, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Pwani jioni ya...

Aug 05, 2016 10:17pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo jioni imeingia mkataba na mabeki wawili, Mghana Daniel Amoah na Mzimbabwe, Bruce Kangwa, kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao.

Wawili hao kila mmoja amesaini mkataba wa miaka...

Aug 04, 2016 12:08am

BAADA ya kukosekana uwanjani kwa muda wa siku 122 (sawa na miezi minne), beki kisiki wa kulia wa Azam FC, Shomari Kapombe, leo amecheza mechi yake ya kwanza tokea apone wakati mabingwa hao wakilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Ruvu.

...

Aug 03, 2016 12:42pm

“Ninafuraha kubwa kuwa hapa, nimekuja kushinda makombe pamoja na kuweka historia hapa kabla sijaondoka, nimejiandaa kuzikabili changamoto zote zilizopo mbele yangu,” hiyo ndio kauli ya kwanza ya nyota mpya wa Azam FC, Enock Atta Agyei, alipofanya...

Aug 01, 2016 03:11pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, ilirejea jana jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza kambi ya wiki moja visiwani Zanzibar, ambayo ilikuwa ni mahususi kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao.

Ikiwa visiwani humo, Azam FC...

Jul 31, 2016 01:55am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, usiku wa kuamka leo imemaliza kambi ya Zanzibar kwa kuichapa timu ya Taifa ya Jang’ombe bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu ujao.

Mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan...

Jul 29, 2016 02:50pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imefanikiwa kunasa saini ya winga nyota wa timu ya Medeama ya Ghana, Enock Atta Agyei, ambaye tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo.

Kinda huyo anatua baada ya...

Jul 28, 2016 02:33pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Zeben Hernandez, ameendelea kukiandaa kikosi chake kisayansi zaidi, ambapo leo amewashangaza baadhi ya wakazi wa Visiwani Zanzibar baada ya kuwafanyisha zoezi la kuendesha baiskeli...

Pages

Back to Top