First Team

Latest News

Feb 14, 2019 11:58pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepoteza mechi ya pili kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) baada ya kufungwa na Tanzania Prisons bao 1-0.

Matokeo hayo yanaifanya Azam FC kubakiwa na pointi zake 49 ikiwa...

Feb 12, 2019 06:39pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimewasili salama mkoani Mbeya kikiwa kimejidhatiti kufanya kweli kwenye mchezo ujao dhidi ya Tanzania Prisons.

Azam FC inawasili mkoani humo ikiwa imetoka kucheza mkoani...

Feb 11, 2019 08:50pm

BAO lililofungwa na kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy, limeiwezesha Azam FC kupata sare ya 1-1 ugenini dhidi Lipuli, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Samora mkoani Iringa.

Azam FC kwa kupata sare hiyo hivi sasa...

Feb 10, 2019 04:25pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa ugenini kesho Jumatatu kuvaana na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Samoro mkoani Iringa.

Kikosi cha Azam FC tayari kimewasili salama...

Feb 09, 2019 09:21pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimewasili salama mkoani Iringa usiku huu kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Lipuli.

Mchezo huo unatarajia kufanyika Uwanja wa Samora...

Feb 08, 2019 02:57pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa nje ya jiji la Dar es Salaam kwa wiki moja ikihamishia vita yake ya kuwania pointi sita kwenye mikoa miwili ya Nyanda za Juu kuanzia kesho Jumamosi.

Azam FC inatarajia kuondoka...

Pages

Back to Top