Azam News

Latest News

Dec 19, 2014 12:24am

Mkurugenzi Mkuu wa Azam FC, Abubakar Bakhresa (kushoto) akiwa na Mtendaji Mkuu wa klabu, Saad Kawemba kushuhudia mazoezi jana Uwanja wa Azam Compolex, Chamazi, Dar es Salaam

Dec 19, 2014 12:21am

MCHEZAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwezi uliopita, Oktoba, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ wa Azam atakabidhiwa tuzo yake kesho.

Mtoto huyo wa kiungo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Abubakar Salum ‘Sure Boy’ atakabidhiwa...

Dec 19, 2014 12:22am

AZAM FC imepunguzwa kasi katika Kombe la Kagame, baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Atlabara ya Sudan Kusini jioni hii Uwanja wa Stade de Kigali, Nyamirambo mjini Kigali.

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Didier Kavumbangu...

Pages

Back to Top