KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji Ditram Nchimbi, akitokea Njombe Mji.

Jun 12, 2018 09:16am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili...

Jun 11, 2018 11:57pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inathibitisha kuwa leo imeingia rasmi mkataba...

Jun 09, 2018 11:34pm

IMETHIBITIKA kuwa mshambuliaji mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Donald...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jun 12, 2018 09:16am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili...

Jun 09, 2018 11:34pm

IMETHIBITIKA kuwa mshambuliaji mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Donald...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Jun 12, 2018 09:16am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Jun 12, 2018 09:16am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji Ditram Nchimbi, akitokea Njombe Mji.

Nchimbi ni mmoja ya washambuliaji wachache kwenye ligi ambao wanatambulika kwa uwezo wa kupambana na mabeki kwa mipira ya juu na chini, akitarajiwa kuongeza kitu katika eneo la ushambuliaji la Azam FC.

Zoezi la uingiaji mkataba baina ya pande hizo mbili limesimamiwa na Meneja wa timu hiyo, Phillip Alando, ambaye ameweka wazi kuwa...

Jun 11, 2018 11:57pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inathibitisha kuwa leo imeingia rasmi mkataba wa mwaka mmoja na mshambuliaji Donald Ngoma, atakaoanza kuutumikia kuanzia msimu ujao.

Awali pande hizo mbili ziliingia makubaliano ya mkataba huo (memorandum of understanding) kwa sharti la kumfanyia vipimo vya afya jijini Cape Town, Afrika Kusini kujua undani wa majeraha ya goti aliyokuwa nayo.

Zoezi hilo la vipimo lilienda vema kwenye Hospitali ya Vincent Pallotti nchini humo,...

Jun 09, 2018 11:12pm

TIMU ya vijana ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam U-20, imefungua pazia la michuano ya Ligi ya Vijana (U-20 Uhai Cup 2018) kwa kutoka suluhu dhidi ya Mtibwa Sugar leo mchana.

Michuano hiyo inafanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), ambapo timu zote za vijana za klabu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) zinashiriki zikiwa zimegawanywa katika makundi manne yenye timu nne kila moja, Azam U-20 ikiwa Kundi C.

Katika mchezo huo wa kwanza, timu zote...

Jun 09, 2018 11:34pm

IMETHIBITIKA kuwa mshambuliaji mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Donald Ngoma, atarejea dimbani Agosti 11 mwaka huu tayari kuanza kuitumikia timu hiyo kwa mechi za ushindani.

Baada ya kufanyiwa vipimo katika Hospitali ya Vincent Pallotti jijini Cape Town, Afrika Kusini katikati ya wiki hii, imebainika kuwa Ngoma amekutwa na tatizo la kuchanika mtulinga wa mbele wa goti la mguu wa kulia (Anterior Cruciate Ligament).

Daktari Mkuu wa Azam FC, Dr. Mwanandi...

Jun 08, 2018 05:41pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd Chilunda, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Chilunda ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Jacob Massawe wa Ndanda na Edward Shija wa Kagera Sugar katika uchambuzi uliofanywa wiki hii na kamati ya tuzo hizo.

Mshambuliaji huyo kinara wa mabao wa Azam FC msimu uliopita akifunga tisa VPL, ambapo katika mwezi huo aliisaidia timu hiyo...

Jun 08, 2018 12:34pm

TIMU ya vijana ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC U-20, inatarajia kushuka dimbani kesho Jumamosi saa 8.00 mchana, kuanza kufukuzia taji la Ligi ya Vijana (U-20 Uhai Cup) mwaka huu kwa kumenyana na Mtibwa Sugar.

Michuano hiyo itakayoanza kutimua vumbi kwenye viwanja vya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), inadhaminiwa na Maji safi ya Uhai Drinking Water na Azam TV, ambapo jumla ya makundi manne yamepangwa.

Vijana hao wa Azam, wapo Kundi C sambamba na timu nyingine za...

Jun 07, 2018 08:26am

BEKI chipukizi wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Abdul Omary ‘Hamahama’, ameongezewa mkataba wa miaka miwili zaidi kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Hamahama, 19, ni zao la Azam Academy akilelewa tangu wakati kikosi hicho kikifundishwa na Vivek Nagul raia India, ambapo alipandishwa rasmi timu kubwa msimu ulioisha 2017/2018 na kufanikiwa kucheza mechi nne za mwisho za Azam FC kwa kiwango cha juu.

Wakati akipandishwa alipewa mkataba wa miaka miwili, na...

Jun 05, 2018 03:17pm

MABINGWA watetezi wa michuano ya Kombe la CECAFA Kagame, Azam FC, wanatarajia kuanza kutetea ubingwa huo kwa kuvaana na Kator FC ya Sudani Kusini mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Juni 29 mwaka huu saa 10.00 jioni.

Azam FC ilitwaa ubingwa huo Agosti 2, 2015 hapa nchini wakati michuano hiyo ilipofanyika kwa mara ya mwisho, ikiifunga Gor Mahia mabao 2-0, yaliyofungwa na gwiji wa timu hiyo, John Bocco 'Adebayor', aliyehamia Simba msimu huu na Kipre...

Jun 03, 2018 11:34am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inayofuraha kuthibitisha kuwa imefanikiwa kumsajili kiungo Tafadzwa Kutinyu, kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongezwa kwa mujibu wa kiwango atakachoonyesha.

Kutinyu, 24, amekuwa na msimu mzuri tokea ajiunge na Singida United msimu huu iliyomsajili kutoka Chicken Inn ya nchini kwao Zimbabwe.

Ujio wa kiungo huyo ni sehemu ya kuboresha kikosi kwa mujibu wa ripoti ya benchi la ufundi kuelekea msimu ujao 2018/2019,...

Jun 02, 2018 01:41pm

NDOA ya miaka 10 kati ya nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’ na timu hiyo imefikia ukingoni mwishoni mwa msimu huu, baada ya kiungo huyo kusaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Petrojet inayoshiriki Ligi Kuu nchini Misri.

Ninja amepokea baraka zote kutoka kwa Azam FC baada ya pande hizo mbili kufikia makubaliano ya kuondoka kwake, ambapo uongozi wa timu hiyo umemtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kucheza soka la kulipwa.

Hadi anaamua kuondoka, Mao ni mmoja ya...

May 31, 2018 04:32pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unathibitisha kuwa kikosi hicho kinatarajia kufundishwa na Mholanzi Hans Van Pluijm, kuanzia msimu ujao.

Pluijm ambaye anaifundisha Singida United hivi sasa akiwa tayari ameaga kutoendelea nao msimu ujao, anakuja Azam FC kuchukua mikoba ya Mromania Aristica Cioaba, aliyekuwa na kikosi hicho msimu uliopita.

Ofisa Habari wa timu hiyo, Jaffar Idd, ameuambia mtandao rasmi wa klabu www....

May 31, 2018 12:59am

BAADA ya kumaliza nafasi ya pili msimu huu, kiungo wa Azam FC, Frank Domayo ‘Chumvi’, amewaahidi mashabiki wa timu hiyo kuwa watapambana kuhakikisha wanarejea kwenye michuano ya Kimataifa msimu ujao.

Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup) wameshika nafasi hiyo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ikiwa na pointi 58, nyuma ya Simba iliyokuwa mabingwa kwa pointi 69 huku Yanga ikimaliza katika nafasi ya tatu kwa pointi zake 52.

Domayo ameuambia...

Back to Top